Zola D’s biography, fact, career, awards, net worth and life story

Intro Tanzanian musician
A.K.A. David Michael Mlope
Is Musician
From Tanzania
Type Music
Gender male
Birth

20 January 1980

Age 40 years
Star sign Aquarius
Genre:
Hip hop music

David Michael Mlope au Zola D (amezaliwa 21 Januari 1980) ni mwimbaji wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania.

Huenda akawa anafahamika zaidi kwa vibao vyake kadhaa vilivyoweza kutikisa jiji la Dar es Salaam kwa kipindi kirefu; vibao hivyo ni: “Jana sio Leo” na “Moto wa Tippa”.

Viungo vya nje

  • Tovuti ya Zola D
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zola D kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
You May Also Like