| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | female |
| Birth | 1969 |
| Age: | 51 years |
Zaynab Matitu Vulu (amezaliwa mnamo mwaka 1969) katika kijiji cha Mlongazi wilayani Kisarawe mkoani Pwani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa mwaka 2015 – 2020.