Wilbrod Peter Slaa’s biography, net worth, fact, career, awards and life story

Intro Tanzanian politician
A.K.A. Dk. Wilbrod Slaa, Wilbrod Slaa
Is Politician 
From Tanzania 
Type Politics 
Gender male
Birth 29 October 1948
Age: 71 years

Willbrod Peter Slaa alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1948 katika kijiji cha Kwermusi, wilaya ya Mbulu.

Alikuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama kinachoongoza mpaka sasa kambi rasmi ya upinzani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Alijiuzulu nafasi ya ukatibu mkuu na uanachama wa Chadema mwaka 2015 baada ya ujio wa waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ambaye alipewa nafasi ya kugombea urais mwaka huo.

Alikuwa mgombea wa urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na kushika nafasi ya pili kwa asilimia 27.05 ya kura zote, akiachwa na Jakaya Kikwete wa CCM aliyeongoza kwa kupata asilimia 62.83, kadiri ya matokeo rasmi ambayo hayajasadikiwa na wananchi wote.

Kabla ya kugombea urais mwaka 2010 alikuwa mbunge wa Karatu miaka 1995-2010; baada ya kugombea Urais akawa si mbunge tena.

Elimu

Willbrod Slaa alisoma shule ya msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu miaka 1958-1961 na baadaye shule ya kati (middle school) ya Karatu miaka 1962-1965.

Baada ya darasa la nne Slaa alijiunga na seminari ya Dung’unyi mkoani Singida miaka 1966-1969 na kusoma sekondari. Kisha akaendelea na masomo ya juu ya sekondari katika seminari ya Itaga mkoani Tabora miaka 1970-1971 alikohitimu kidato cha sita.

Alipomaliza kidato cha sita katika seminari ya Itaga alikuwa ameshafanya maamuzi ya kuwa mtumishi wa Kanisa Katoliki. Alijiunga na seminari kuu ya Kibosho miaka 1972-1973 na kupata stashahada ya falsafa iliyompa sifa ya kuhadiliwa na seminari kuu ya Kipalapala iliyopo Tabora kati ya mwaka 1974 na 1977 na alipata fursa ya kubobea zaidi masomo ya falsafa na teolojia huku pia akisoma stashahada ya teolojia katika chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda.

Baada ya safari ndefu ya kuusaka utumishi Slaa alipadrishwa (alipewa upadri rasmi) mwaka 1977 na baada ya utumishi wa miaka michache alijiunga na chuo kikuu cha Kipapa cha Urbaniana nchini Italia akisomea udaktari wa sheria za Kanisa ulio maarufu kama J.C.D. (Juris Canonic Doctor) kati ya mwaka 1979 na 1981. Katika mfumo wa Kanisa Katoliki J.C.D ndiyo shahada ya juu katika masomo ya sheria za Kanisa.

Uongozi Kanisani

Slaa alianza kuwa kiongozi tangu alipokuwa mwanafunzi pale Kipalapala ambapo alichaguliwa kuwa rais wa wanafunzi; mapadri wanasema alikuwa mmoja wa viongozi wazuri sana kupata kuongoza Kipalapala.

Pia Slaa amewahi kua msaidizi wa askofu na mkurugenzi wa maendeleo katika Jimbo Katoliki la Mbulu.

Amewahi kua Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kwa muda wa miaka tisa (mihula yote mitatu). TEC ndiyo chombo cha juu cha kusimamia ushirikiano ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania.

Slaa anaelezwa kama katibu mkuu mwenye ufanisi mkubwa tangu TEC ianzishwe. Miundombinu mingi ya Kanisa Katoliki ilianzishwa na kukamilishwa kipindi ambacho Slaa alikuwa katibu wa TEC.

Katika siasa

Slaa alijitoa kwenye upadri mwaka 1991. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa maaskofu kadhaa, Slaa alifanya hivo kwa kufuata taratibu za Kanisa Katoliki na aliacha mwenyewe bila kufukuzwa, kushinikizwa ama kupewa onyo.

Aliingia kwenye kinyang’anyiro cha ubunge mwaka 1995 akiomba ridhaa ya kuwatumikia wananchi kupitia tiketi ya CCM na alishinda katika kura za maoni za chama hicho. Vikao vya CCM vilipokutana Dodoma vikamuengua na kumweka tena mbunge anayemaliza muda wake, Patrick Qorro. Wananchi wa Karatu wakamuomba agombee ubunge kupitia chama kingine na ndipo Slaa alipambana na wagombea wa vyama vingine kama CCM, CUF, NCCR MAGEUZI, UDP na aliwashinda wote kwa kupata asilimia 52, akifuatiwa na mgombea wa CCM aliyepata asilimia 44.

Uchaguzi uliofuata, mwaka 2000, Slaa alishiriki na kupata ushindi mkubwa zaidi. Tena kwenye uchaguzi wa mwaka 2005 Slaa aligombea kwa awamu ya tatu na kupata ushindi wa asilimia 50 dhidi ya asilimia 49 za Patrick Tsere wa CCM.

Katika CHADEMA amewahi kuwa makamu mwenyekiti kabla hajachaguliwa kuwa katibu mkuu mwaka 2004, mwaka ambao Freeman Mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti. Mwaka 2015 Willbroad Peter Slaa aliwashangaza wengi, wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, pale alipotangaza kujiuzulu nafasi ya ukatibu mkuu wa Chadema, kujitoa uanachama wa Chadema na kuachana na siasa, kwa ujumla kwa madai ya kupinga ujio WA waziri mkuu mstaafu Edward lowassa ambaye ndiye aliyepewa nafasi ya kugombea Urais kupitia Chama hiko katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.

Tazama pia

  • Wabunge wa Tanzania

Marejeo

You May Also Like

Lis Wiehl’s net worth, biography, fact, career, awards and life story

Lis Wiehl net worth: Lis Wiehl is an American author and legal analyst who has a net worth of $25 million. Lis Wiehl was born in Yakima, Washington in August 1961. She graduated from Barnard College, University of Queensland, and Harvard Law School. Wiehl was a legal analyst for Fox News. She is an adjunct profession of law at New York Law School. Wiehl was formerly an associate professor at University of Washington Law School. She has appeared on the TV series The O’Reilly Factor, The Kelly File with Megyn Kelly, Your World with Neil Cavuto, Lou Dobbs Tonight, and more. Wiehl has also been featured on The Radio Factor with Bill O’Reilly and on National Public Radio. She is the host of the podcasts Wiehl of Justice and Legal Lis. Wiehl has authored several books including the Erika Sparks series, the Triple Threat Series, the East Salem Trilogy, and the Mia Quinn Mysteries. Bill O’Reilly Settlement: In 2017, a report emerged that claimed Lis Wiehl was paid a $32 million settlement from Fox News to settle sexual harassment charges against Bill O’Reilly.
Read More

Ion Tiriac’s net worth, biography, fact, career, awards and life story

Ion Tiriac Net Worth: Ion Tiriac is a Romanian businessman and former professional ice hockey and tennis player who has a net worth of $1.2 billion. After a fairly successful tennis career he pivoted to an extremely successful career as a businessman and subsequently earned billions of dollars. Richest Athlete in the World? For much of the last decade Ion Tiriac was the richest former professional athlete in the world. His net worth peaked at around $2 billion. Michael Jordan was the second richest athlete with a net worth ranging from $1.5 to $1.9 billion between 2014 and 2019. By 2020, Ion’s fortune had dropped nearly in half to $1.2 billion while Michael Jordan’s net worth increased to $2.2 billion by April 2020, allowing MJ to earn the title of richest athlete in the world. Ion Tiriac was born in Brasov, Romania in May 1939. As a tennis player Tiriac won the Bavarian International Tennis Championships in 1970. He reached the quarterfinals of the French Open in 1968. He was a more successful doubles player winning 22 career titles including the French Open in 1970. Tiriac was ranked #19 in doubles tennis in April 1979. He represented Romania in international competition and won Gold medals in singles and mixed doubles at the 1965 Budapest Summer Universiade. He also reached the finals at the Davis Cup in 1969, 1971, and 1972. After retiring from sports Tiriac began managing other players. He immediately became Ilie Năstase’s full time coach and eventually went on to coach for superstars such as Mary Joe Fernández, Guillermo Vilas, Marat Safin, Steffi Graf, and Goran Ivanišević. Between 1984 and 1993, Ion personally orchestrated Boris Becker’s ascent to become the #1 ranked player in the world (1991). Working with Boris Becker during this interesting period in German history exposed Ion to western business practices. In 1990 he founded his own bank back in Romania which he called Banca Tiriac. It was the very first privately owned bank in post-communist Romania. He then went on to launch retail businesses, auto dealerships, an airline and an insurance company. He also owns a large residential and commercial real estate portfolio. Today his empire includes Tiriac Holdings, TiriacAIR, HVB Tiriac Bank, Allianz-Tiriac Asigurari Romania, TiriacAuto, Tiriac Leasing, and Tir Travel. Tiriac owns the Mutua Madrilena Madrid Open and was elected to the International Tennis Hall of Fame in 2013. He had never earned more than a few million dollars as a professional athlete but within two years of the Berlin Wall falling, Ion Țiriac was worth over $100 million. By 2000 he was worth $500 million. In 2005 his net worth was estimated at $900 million. In 2007, Forbes recognized Ion as the 840th richest person in the world with a net worth of $1 billion. He is Romania’s only known billionaire.
Read More