| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | female |
| Politics | Chadema |
Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA . Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 2015 – 2020.
Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la 11.