| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
Ummy Ally Mwalimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2010 – 2015, akarudishwa bungeni mwaka 2015.
Mwaka 2017 alikuwa waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.