Tanzania’s Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) Lyrics

[Stanza 1] Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

[Chorus] Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

[Stanza 2] Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake

[Chorus] Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania

You May Also Like