35/60 rima ya girimba
35/60 ni rima ya girimba
Morio ukining’ora unajua utabaki
Acha utiaji unajua utabaki
Kifashia unajua utabaki
Utabaki unajua utabaki
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Tembea hizi rima ni rima za girimba
Chura za mayadi area zenu ni makeki
Mboka tupiga ndio tupate ya sima
Mkoba anaringa na gizani anatekwa
Team kujibeba mavisa watakuteka
Jing mi hushikisha na njoti sina gomba
Fathe umetepwa ukizima utatokwa
Buda umetepwa ukizima utatokwa
Morio ukining’ora unajua utabaki
Acha utiaji unajua utabaki
Kifashia unajua utabaki
Utabaki unajua utabaki
—
—