Shazzie Kemz’s Dhamana Lyrics (Ft. Haitham Kim)

(Ayoo lizer) 
Shazzie baby

Kuna wengi nimecheki 
But I still come to you uuh 
But I still come to you

Me nitakupenda daily 
Hakuna kitu wanezado ooh
Hakuna kitu wanezado ah 

Unanifanya nijihisi miee 
Feels so nice ukinikumbatia baa 
Chunga mapenzi yasididimiee 
Am so glad that you are mine 
Zidi kuyatia laadha

We ndo kwangu embe dodo 
The way I love you so much 
Mimi sitotia nyodo so 
Baby come to mee

Come tufukuze boredom 
Na ukifika just get in 
Nishakodoa kodo

Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya dhamana 
Baiby kwako sitohama 
Mapenzi yako ya dhamana uuuh
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya dhamana oooh 

Ulichonipa kimenogaa
Na majanaba nimekoga,
Ooh baby!!! ooh baby!!
Pika mi nichume mboga

Ningusee hapa kiunoni
Tambaa tambaa paka shigoni
Nipe kasauti ka rightoni
Mambo mwake mwake

Nishushe nikifika kituoni
Nikubebe mgongoni
Kitanda ka uligonii
Pemba chake chake

Tuzime taa, tuzime taa
Nishaipima urefu kilometaa
Tuzime taa, tuzime taa
Chomeka na twanga nai pepetaaa

Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya dhamana 
Baiby kwako sitohama 
Mapenzi yako ya dhamana uuuh
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya dhamana oooh 

Toka Tanzania mpaka Kenya wallai
Gimme full full make I drive it tonight
A drive it tonight gimme full full 
Make a drive it tonight

Me a wife material
Me a wife material
Me a wife material
Me a wife material

(Lizer on the mix)

Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya dhamana 
Baiby kwako sitohama 
Mapenzi yako ya dhamana uuuh
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya dhamana oooh 

You May Also Like