| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth |
28 July 1970 |
| Age | 50 years |
| Politics | Party of the Revolution |
Rwegasira Mukasa Oscar (amezaliwa 28 Julai 1970) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Biharamulo Magharibi kwa miaka 2015 – 2020.