Rose Ndauka’s biography, fact, career, awards, net worth and life story

Intro Tanzanian actress
Is Actor
From Tanzania
Type Film, TV, Stage & Radio
Gender female
Birth

7 October 1989

Age 31 years
Star sign Libra

Rose Ndauka (amezaliwa 7 Oktoba 1989) ni mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania.

Alipata elimu yake katika shule ya sekondari Zanaki – Dar es Salaam ambapo alimaliza mwaka 2008.

Toka alipokuwa mdogo sana Rose alipenda kuigiza. Kipaji chake hicho kiligunduliwa na mama yake mzazi kabla ya yeye mwenyewe kuamua kujiingiza rasmi kwenye tasnia ya filamu nchini.

Rose alionekana kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya “Swahiba” aliyoigiza kama “Aisha” mnamo mwaka 2007. Filamu hii ilipigwa kura kama filamu bora ya mwaka na kituo cha redio cha Clouds FM.

Baada ya filamu hiyo Rose aliweza kupata nafasi ya kuigiza katika filamu mbalimbali zikiwemo Mahabuba na Solemba. Nyota yake ilionekana sana pale alipoigiza filamu ya Deception na marehemu Steven Kanumba kama mmoja wa waigizaji wakuu pamoja na Lost Adam aliyoigiza na mkali mwingine wa bongo movies Jacob Steven “JB”

Mwaka 2010 Rose Ndauka alifungua kampuni yake mwenyewe ya “Ndauka Entertainment”, pia alipata nafasi ya kuigiza kwenye filamu inayohusu mauaji ya halaiki ya Rwanda iliyopewa jina la “Rwanda baada ya vita” (ama Urwanda nyuma u’genocide kwa Kinyarwanda).

Mwaka huohuo chini ya kampuni yake Rose alitoa filamu mbili za “Bad Girl” na “The Diary” ambazo zilifanya vizuri sana sokoni.

Mashabiki wake wanapenda kumuita “Rosie” na mara nyingi amekuwa akipata “attention” kubwa kwenye vyombo vya habari na magazeti kutokana na mvuto wake na umbo lake zuri.

You May Also Like

Hopsin’s net worth, biography, fact, career, awards and life story

Hopsin net worth: Marcus Jamal Hopson, more commonly known by his stage name, Hopsin, is an American rapper, record producer, director, and actor who has a net worth of $4 million dollars. Born in Los Angeles, California in 1985, Hopsin was a student at James Monroe High School when he decided to leave early in order to focus on building a music career. Ruthless Records signed him almost immediately. Unfortunately, the relationship between label and artist was never successful, and he claims that he was not supported during production of his first album, “Gazing at the Moonlight”, and that he was not able to hear any of the masters before it was released. He and Ruthless parted ways in 2009, and a year later, he founded his own record company Funk Volume. His second album, “Raw”, was released in the fall of 2010. Known for using the internet to draw a fan base, Hopsin released the fourth video in his series of “Ill Mind of Hopsin” videos. The video became a viral sensation, wracking up over 13 million views. He has since been featured in two video games, performed on MTV2, and appeared on the cover of XXL Magazine. Hopsin released the album Knock Madness in 2013 which reached #1 on the US Heatseekers chart and #7 on the US Rap chart. He released the album Pound Syndrome in 2015 which reached #4 on the US Rap chart. Hopsin released his album No Shame in 2017. He has had minor success with the singles “Sag My Pants”, “Ill Mind of Hopsin 5”, “Hop Is Back”, “Ill Mind of Hopsin 7”, “Crown Me”, “Fly”, and “Ill Mind of Hopsin 8”. Hopsin has collaborated with other artists including Tech N9ne, B.o.B, Travis Barker, Paul Wall, Insane Clown Posse, Brotha Hung Lynch, Kid Cudi, B-Real, Xzibit, Futuristic, and more. He has become known for his look featuring white contacts.
Read More