| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | female |
| Birth | 8 August 1972 |
| Age: | 48 years |
| Politics | Party of the Revolution |
Munde Abdallah Tambwe (amezaliwa 8 Agosti 1972) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.