| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
Mgana Izumbe Msindai (amezaliwa 28 Novemba, 1948) ni mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
- Wabunge wa Tanzania