| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth | 5 May 1967 |
| Age: | 53 years |
Mansoor Shanif Hirani (amezaliwa 05.Mei 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kwimba kwa miaka 2015 – 2020.