Lawrence Kego Masha’s biography, fact, career, awards, net worth and life story

Intro Tanzanian politician
A.K.A. Lawrence Kego Masha
Is Politician
From Tanzania
Type Politics
Gender male
Birth

11 March 1970

Age 50 years

Lawrence Kego Masha (amezaliwa tar. 11 Machi, 1970) alikuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Alipata kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya ndani (2006-2008), Waziri wa Mambo ya Ndani (2008-2009), Naibu Waziri wa Nishati na Madini (2006-2006). Ameuangushwa na mmoja kati ya wagombe wa CHADEMA.

Tazama pia

  • Wabunge wa Tanzania

Marejeo

You May Also Like