Kenya’s Wimbo wa Taifa Kenya (Swahili) Lyrics

[Stanza 1] Ee Mungu nguvu yetu  
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi

[Stanza 2] Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda  
 
[Stanza 3] Natujenge taifa letu 
Ee, ndio wajibu wetu  
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono  
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani

You May Also Like