| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth | 2 February 1964 |
| Age: | 56 years |
| Politics | Chadema |
Kasuku Samson Bilago (amezaliwa 2 Februari 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Buyungu kwa mwaka 2015 – 2020.