| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth |
14 November 1984 |
| Age | 36 years |
| Politics | Party of the Revolution |
Jamal Kassim Ali (amezaliwa 14 Novemba 1984) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Magomeni kwa miaka 2015 – 2020.