Jacqueline Wolper’s biography, fact, career, awards, net worth and life story

Intro Tanzanian Actress
Is Actor
From Tanzania
Type Film, TV, Stage & Radio
Gender female
Birth

1987

Age 34 years

Jacqueline Wolper Massawe (amezaliwa Moshi, Tanzania, 6 Desemba 1987) ni mwigizaji wa filamu, mwanamitindo na mjasiriamali kutoka nchini Tanzania.

Wolper amecheza filamu nyingi tu nchini na aliletwa kwenye ulimwengu wa filamu na mwigizaji mwenzake Lucy Komba. Filamu alizocheza ni pamoja na: Tom Boy – Jike Dume, Crazy Desire, Mahaba Niue, I am Not Your Brother, Chaguo Langu, Dereva Taxi, Shoga Yangu na Family Tears. Wolper amekuwa mtu wa kutokea katika magazeti mara kwa mara na kashfa kedekede. Mahusiano yake na Harmonzie yalikuwa magazetini kila siku hadi walipoachana.

Maisha

Jacqueline Wolper Massawe alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Mawenzi na baadaye kuhamia Magrath, Ekenywa na Masai kwa ajili ya elimu ya sekondari hadi mwaka 2000.

Wolper vilevile alisomea masuala ya biashara huko Arusha na vilevile hujishughulisha na mambo ya urembo. Hasa kwa kuwashughulikia warembo katika mavazi na mitindo mbalimbali.

Baadhi ya filamu zake

  • Tom Boy – Jike Dume
  • Hard Price
  • Robson Rambo
  • Nikole
  • Crazy Desire
  • Mbegu
  • After Death
  • Impossible
  • My Princess
  • Tikisa
  • Mahaba Niue
  • Pain for Pain
  • P.F.P
  • Think Before
  • Identity Card
  • Babylon
  • Before Wedding
  • I am Not Your Brother
  • Curse of Marriage
  • Ulimi
  • Mr.Nobody
  • Total Confusion
  • Pusi na Paku
  • Lupepo Village
  • Hukumu ya Mande
  • Ndoa Yangu
  • Mtekaji
  • Chocolate
  • End of Evil
  • The Dilomat
  • My Intention
  • Time After Time
  • Chaguo Langu
  • Siri ya Moyo Wangu
  • God is Great
  • Saa 4
  • Swadakta
  • Gaitan
  • Clinic Love
  • Dereva Taxi
  • The Impact
  • Mens Day Out
  • Dunia Nyingine
  • Determination
  • Aching Heart
  • Shoga Yangu
  • Signature
  • Mafisadi wa Mapenzi
  • All About Love
  • Eagle Eyes
  • Wrong Decision
  • Mtegoni
  • Ama Zako Ama Zangu
  • Suprise
  • Fake Love
  • Life 2 Life
  • Pete ya Ajabu
  • The Avenger
  • Mtumwa
  • Secretary
  • Last Minutes
  • Red Valentine
  • Jozani
  • Ndani ya Gunia
  • Roho Sita Revelation
  • Family Tears

Tazama pia

  • Irene Uwoya
  • Emmanuel Myamba
  • Vincent Kigosi

Marejeo

Viungo vya Nje

  • Jacqueline Wolper mahojiano katika Mkasi TV – Youtube
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline Wolper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline Wolper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
You May Also Like