| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth | 5 May 1979 |
| Age: | 41 years |
| Politics | Party of the Revolution |
Innocent Lugha Bashungwa (amezaliwa 5 Mei 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Karagwe kwa mwaka 2015 – 2020.