| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | female |
| Birth |
5 February 1967 |
| Age | 53 years |
| Politics | Chadema |
Grace Victor Tendega (amezaliwa 5 Februari 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.