Glorious Worship Team’s Umenifanya Ibada Lyrics

Umenifanya Ibada
Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako 

Mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu 

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika,chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu 

Umenificha sirini,mwako bwana
nikujue zaidi ya fahamu zangu 

Mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamlaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu 

Umenifanya Ibada nikwabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yako 

Nasema ndio

Ndio bwana bwana
ndio bwana bwana 

Nasema ndio 

Ndio Bwana bwana
Ndio bwana bwana 

You May Also Like