| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | female |
| Birth | 3 March 1980 |
| Age: | 40 years |
| Politics | Chadema |
Ester Amos Bulaya (amezaliwa 3 Machi 1980) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Bunda kwa miaka 2015 – 2020.