Ephraim Sekeleti’s Nafsi yangu yakutamani Lyrics

nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayala atafutavyo maji ya mto baba nafsi yangu yakutamani nijaze na roho mtakatifu niweke karibu nawe nirejeshee furaha ya wokovu baba nafsi yangu yakutamani

You May Also Like