Diamond Platnumz’s Amanda Lyrics (Ft. Jah Prayzah)

amanda amanda eh

amanda amanda eh

amanda amanda eh

kwanza anakunywa bia kama anasinzia amanda

macho kama anasinzia

nikiumwa na kichwa ye ndio nurse amanda

kitandani anavyoparamia komando (amanda)

kipato changu kidogo ameridhia

nashangaa unaleta shobo wataka niharibia

oh nakesha kuvunja nazi amanda

oh mwambie kwetu anajipa kazi amanda

amanda amanda eh

amanda amanda eh

amanda amanda eh

kwanza anakunywa bia kama anasinzia amanda

macho kama anasinzia

nikiumwa na kichwa ye ndio nurse amanda

kitandani anavyoparamia komando amanda

kipato changu kidogo ameridhia nashangaa unaleta shobo wataka niharibia 

oh nakesha kuvunja nazi amandao mwambie kwetu anajipa kazi  amanda

You May Also Like