| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | female |
| Birth | 21 June 1953 |
| Age: | 67 years |
| Politics | Party of the Revolution |
Christine Gabriel Ishengoma (amezaliwa 21 Juni 1953) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.