| Intro | Tanzanian politician |
| A.K.A. | Charles Ogesa Mlingwa |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
Charles Ogessa Mlingwa (amezaliwa 6 Machi, 1959) ni mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
- Wabunge wa Tanzania