Benito William Malangalila’s biography, fact, career, awards, net worth and life story

Intro Tanzanian politician
Is Politician
From Tanzania
Type Politics
Gender male

Benito William Malangalila (amezaliwa tar. – ) ni mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Alikuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010,alipoamua kustaafu na kumwachia mbunge wa Sasa Bw Menderady Kigolla (CCM) hata hivyo mbunge huyo kabla na baada ya kustaafu alikuwa akiugua mara kwa mara na muda wote toka alipoamua kuachana na siasa alikuwa akiugua na kujipumzisha nyumbani kwake.

Alifariki mwaka October 2012 na kuzikwa mkoani Iringa.

Tazama pia

  • Wabunge wa Tanzania

Marejeo

You May Also Like