| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | female |
| Birth | 21 January 1983 |
| Age: | 37 years |
| Politics | Chadema |
Anatropia Lwehikila Theonest (amezaliwa 21 Januari 1983) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.