| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth |
30 March 1976 |
| Age | 44 years |
| Politics | Civic United Front |
Ally Salim Khamis (amezaliwa 30 machi 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Wananchi (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mwanakwerekwe kwa miaka 2015 – 2020.