Abbah’s Mwagia Ndani Lyrics (Ft. Maua Sama, G Nako)

(Sounds by Abbah)

Long time niikuona eeh
Penzi kama tulianza jana
Sometimes ananikera
Nampea kwanza nawaza naye

Mafisi wanajikoki
Wataka penzi langu hawalipati
Ndo kwanza ye ananiposti
Pole wabambe itawakosti

Eeh tate nane tumeshibana
Eeh sa itakuwaje tukitengana

Tukiongozana si unaona 
Bibi na bwana si unaona
Tunavyopendana si unaona
Mfupa kwa nyama si unaona

Boy now tell me what to do
—
—

You May Also Like