Abbah’s Kama Wote Lyrics (Ft. Meja Kunta)

(Sounds by Abbah)

We Diana, nini naelewa
Yote sawa basi tulia
Naumuia mama 

Sema kama kweli wanipenda
Mimi niwe na wewe tu
Baby mimi nakupenda
Nile nile nile nawe tu

Sema kama kweli wanipenda
Mimi niwe na wewe tu
Baby mimi nakupenda
Nile nile nile nawe tu

Diana mimi na wewe
Mpaka kwenye kilele
Baby tuishi milele
Aah aah..

—-
—-

You May Also Like